ENGIN FIRAT AJIUZULU
Kocha mkuu wa Harambee Stars Engin Firat amejiuzulu hii leo kufuatia majuma kadhaa yaliyopita kushindwa kuipeleka timu hiyo ya taifa kwenye michuano ya AFCON 2024. Firat amechukua maamuzi hayo baada ya matokeo duni kwenye mechi za kutafuta tikiti ya kufuzu kwa michuano hiyo itakayofanyika Morocco Hata hivyo kabla ya kujiuzulu kwake kulikuwepo na tetesi kuwa […]
ENGIN FIRAT AJIUZULU Read More »



