Paps Mkare

HISIA ZA BALLON DOR ZAZIDI KUIBUKA – AGUERO NA SEEDORF

Maoni mbalimbali kuhusu tuzo la Ballon Dor yanazidi kuibuka ulaya huku wachezaji nguli wengine ambao walishastaafu wanazidi kuibua hisia zao. Baada ya tuzo ya Ballon Dor kupewa Kiungo wa Man City Rodrigo kuna baadhi ya wachezaji waliostafu wanasema sio sawa kwa Real Madrid kufanya tukio la kususia hafla ya kutoa tuzo hizo. Mshambuliaji wa zamani […]

HISIA ZA BALLON DOR ZAZIDI KUIBUKA – AGUERO NA SEEDORF Read More »

HUSSEIN AMEIBUA HISIA KUHUSU ‘WIZI’ WA KURA ZA FKF

Mgombea wa urais wa Fkf Hussein Mohamed ameibua hisia kuhusu suala la uwazi kwenye mchakato wa uchaguzi wa urais utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu. Akizungumza katika kaunti ya Kiambu Hussein anasema kuna baadhi ya wagombea wanajaribu kuhitilafiana na sajili ya uchaguzi. Akikutana na baadhi ya wapiga kura ambao ni wawakilishi wa vilabu Hussein anasema ipo

HUSSEIN AMEIBUA HISIA KUHUSU ‘WIZI’ WA KURA ZA FKF Read More »