Paps Mkare

TUNALENGA KUSAJILI WACHEZAJI – YOUNG BULLS

Mwenyekiti wa klabu ya Young Bulls klabu inayoshiriki katika ligi ya daraja la kwanza kitaifa kutoka Malindi kaunti ya Kilifi  mhandisi Jonson Mwabati  amesema kwamba katika dirisha la uhamisho litakalofunguliwa rasmi wiki ijayo Bulls wanalenga kusajili wachezaji wanane wapya ili kuipa kasi klabu hiyo. Mwambati hata hivyo amekiri kuwa Young Bulls kwa asilimia flani imekuwa […]

TUNALENGA KUSAJILI WACHEZAJI – YOUNG BULLS Read More »

MICHEZO IMESAIDIA PAKUBWA WAKATI WA LIKIZO – FKF

Visa vya vijana wenye umri mdogo kujihusisha na magenge ya uhalifu pamoja na utumizi wa mihadarati hasa kipindi cha likizo za Krismasi kutokana na vijana hao kuhusishwa sana katika michezo mbalimbali. Mwenyekiti wa FKF katika gatuzi la Kilifi Dickson Angore amesema kwamba vijana wengi walishirikishwa sana katika mashindano mbalimbali msimu huu ambao umetamatika huku akithibitisha

MICHEZO IMESAIDIA PAKUBWA WAKATI WA LIKIZO – FKF Read More »