ALEX MWALIMU ASAJILIWA MOFA
Ni rasmi sasa Alex Mwalimu ni mchezaji mpya wa klabu ya MOFA inayomilikiwa na mshambuliaji pamoja na nahodha wa timu ya taifa Michael Olunga. Alex ametia saini mkataba wake mchana wa leo huko Homa Bay ambako ndio makazi ya klabu ya MOFA inayoshiriki katika ligi ya daraja la kwanza kitaifa. Awali Alex alikuwa ameeleza matumaini […]
ALEX MWALIMU ASAJILIWA MOFA Read More »



