Paps Mkare

MKOMBOZI FC KUKAMILIKA KARIBUNI HUKO MAGARINI

Mbunge wa eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi Harry Kombe anasema kwamba harakati za kuanza kuifufua mkombozi fc zinaendelea baada ya kusaka talanta za wachezaji mwishoni mwa mwaka jana. Akizungumza na Tama La Spoti , Harry Kome anasema lengo lake ni kuanza kuiweka kambini timu hiyo ambayo inajumuisha wachezaji waliochaguliwa kutoka timu na maeneo […]

MKOMBOZI FC KUKAMILIKA KARIBUNI HUKO MAGARINI Read More »

AFCON YAZIDI KURINDIMA, ONANA AKIREJEA OLD TRAFFORD

Mkufunzi wa klabu ya Mancheter United Erik Ten Hag amethibitisha kuwa Andree Onana kipa wa Cameroon atarejea rasmi katika kikosi wiki hii na huenda akawa sehemu ya timu ya the Red Devils kwenye mechi ya ligi kuu nchini uingereza Alhamisi atakapokuwa wanachuana na Wolveshampton. Hii ni baada ya Cameroon kutimuliwa kutoka mashindano ya kombe la

AFCON YAZIDI KURINDIMA, ONANA AKIREJEA OLD TRAFFORD Read More »

MALINDI UNITED YAKATAZA WACHEZAJI KUSHIRIKI ”TOURNAMENTS ZA MTAANI”

Mkufunzi wa klabu ya Malindi United klabu inayoshiriki katika ligi ya kitaifa ya daraja la kwanza Elly Katana amepinga kujihusisha kwa wachezaji wake katika mashindano mbalimbali ambayo sio ya ligi ya FKF. Amesema kwamba klabu hiyo inayomilikiwa na mwakilishi wadi wa mji wa Malindi Rashid Odhiambo imeweka sheria za kuzuia wachezaji kujihusisha na mashindano kama

MALINDI UNITED YAKATAZA WACHEZAJI KUSHIRIKI ”TOURNAMENTS ZA MTAANI” Read More »