HAALAND AANDIKISHA HISTORIA
Erling Braut Haaland amefunga mabao matano katika mechi ya hatua ya 16 dhidi ya Luton City kwenye mashindano ya kombe la FA, mechi ambayo imechezwa usiku wa kuamkia leo. Mabao hayo yametosha kuwa fanya waajiri wake kutika hatua ya robo fainali kwa ushindi wa mabao 6-2 Luton wakiwa nyumbani kwao. Hiyo ni Hatrick haye ya […]
HAALAND AANDIKISHA HISTORIA Read More »



