‘UFISADI’ WA MABAO KUDHIBITIWA MALINDI
Mwenyekiti wa soka la fkf katika tawi la eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi Tom Lango amekiri kuwa msimu uliopita kulishuhudiwa ‘ufisadi’ mkubwa wa mabao katika ligi hiyo. Amesema ufisadi huo ulitokana na tamaa ya zawadi walizokuwa wametangaza watatuza wachezaji mwisho wa msimu kama vile mfungaji bora na kipa bora pamoja na tuzo nyingine. […]
‘UFISADI’ WA MABAO KUDHIBITIWA MALINDI Read More »



