WACHEZAJI WAKONGWE KUNUFAIKA
Waziri wa michezo hapa nchini Kenya Ababu Namwamba amewahakikishia wachezaji wa zamani hasa wanariadha huenda wakanufaika na bima ya afya iwapo sheria itapitishwa. Ameyasema hayo katika mazishi ya Henry Rono ambaye ni mwana riadha wa zamani akidokeza kuwa bima hiyo huenda ikasaidia pakubwa kwenye kusherehekea mabingwa wa zamani ambao waliwakilisha taifa hili zama zao. Ametoa […]
WACHEZAJI WAKONGWE KUNUFAIKA Read More »



