FOREST YASELELEA FA
Klabu ya Nottingham Forest imefuzu kwenye hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Emirates FA Cup, wakiwabandua Ipswich kwenye Kinyang’anyiro Hicho kupitia mikwaju ya Penalty, baada ya Kutoka Sare kwenye Muda wa Kawaida. Kufuatia Ushindi Huo Nottinghama Forest sasa wataekeana Miadi Na Brighton, Manchester City dhidi Bournmouth, Preston Dhidi ya Aston Villa, Huku Fulham waliowabandua […]
FOREST YASELELEA FA Read More »



