UWANJA WA MASHEMEJI DABI WABAINIKA
Baada ya Sintofahamu Nyingi kusaamba Kuhusu uwanja utakaokua mwenyeji wa Mechi Kubwa hapa Nchini, Hatimaye AFC Leopards ambao watakua wenyeji wamefanikiwa kuupata Uwanja wa Kitaifa wa Nyayo, kwa Ajili ya pambano la Mashemeji derby tarehe Moja Siku ya Jumapili, Dhidi ya Wapinani wao wa Jadi Gor mahia. Awali mechi hiyo iliratibiwa Kupigwa katika Uwanja wa […]
UWANJA WA MASHEMEJI DABI WABAINIKA Read More »



