Paps Mkare

MUYEYE ALLSTARS NDIO MABINGWA WA TALANTA SOCCER PROJECT

Muyeye Allstars ndio mabingwa wa makala ya tano ya Talanta Soccer Project mashindano yaliyofanyika na kutamatika katika kaunti ya kilifi. Muyeye Allstars walichukua ubingwa huo baada ya kuitandika klabu ya Bayern Ngalla kupitia ufundi wa upigaji wa matuta baada ya dakika 90 kutamatika sare tasa katika uwanja wa shule ya msingi ya Takaye. Akizungumza na […]

MUYEYE ALLSTARS NDIO MABINGWA WA TALANTA SOCCER PROJECT Read More »

UNGANENI MPATE MISAADA YA SERIKALI, FIKIRINI ASHAURI WACHEZAJI

Wito umetolewa kwa vilabu vya michezo mashinani kuungana na kutengeneza vikundi vitakavyosaidia kuanzisha miradi mbali mbali mashinani kama hatua moja ya kukabili ukosefu wa fedha kwa vilabu jambo ambalo linaathiri vilabu vingi kwa sasa. Fikirini Jacob ambaye ni kiongozi wa vijana alikuwa akizungumza na wachezaji baada ya fainali za mashindano ya talanta soka katika shule

UNGANENI MPATE MISAADA YA SERIKALI, FIKIRINI ASHAURI WACHEZAJI Read More »