Janet Mumbi

RUWEIDA OBO ASEMA JAMII YA AWER INAYOISHI KWA KWENYE MSITU WA BONI ITAIMARISHWA KIELIMU

Mbunge wa Lamu Mashariki kaunti ya Lamu Ruweida Obo amesema katika uongozi wake hatambagua mwenyeji yeyote. Katika ahadi zake amesema atahakikisha jamii ya Awer ambayo inaishi kwenye msitu wa Boni inanufaika kielimu. Amesema ili jamii hiyo iweze kinufaika na elimu, atahakikisha watoto wa jamii hiyo ambao wanasomea shule ya msingi ya bweni ya Arid Zone […]

RUWEIDA OBO ASEMA JAMII YA AWER INAYOISHI KWA KWENYE MSITU WA BONI ITAIMARISHWA KIELIMU Read More »

BUNGE LA KILIFI KUUNDA TIMU YA KAUNTI

Bunge la kaunti ya Kilifi linalenga kutengeneza kikosi cha soka kitakachowakilisha kaunti nzima ya kilifi. Kikosi hicho kitachojumuisha wachezaji kutoka maeneo mbali mbali ya kaunti hii. Kauli hiyo imetolewa na mwakilishi wadi mteule wa bunge la kaunti ya Kilifi Betty Kache wakati akizungumza na wachezaji walioshiriki katika mashindano ya Talanta Soka katika uwanja wa shule

BUNGE LA KILIFI KUUNDA TIMU YA KAUNTI Read More »