Janet Mumbi

NAIBU GAVANA WA TAITA TAVETA CHRISTINE KILALO AWATAKA WAZAZI KUWAJIBIKIA MAJUKUMU IPASAVYO

Naibu Gavana kaunti ya Taita Taveta Christine Kilalo amewataka wazazi katika kaunti hiyo kuwafunza watoto wao kuhusu namna ya kutumia simu za mikononi ili kuwadhibiti dhidi ya kupotoka kimaadili. Kilalo amesema iwapo hilo litatiliwa maanani hakutakuwa na watoto katika jamii ambao wamepotoka kimaadili. Amesema watoto wengi wamepotoka kimaadili kupitia kutazama video na picha zilizoko kwenye […]

NAIBU GAVANA WA TAITA TAVETA CHRISTINE KILALO AWATAKA WAZAZI KUWAJIBIKIA MAJUKUMU IPASAVYO Read More »

ZAIDI YA VIJANA 450 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA NAMNA YA KUTAFUTA AJIRA KAUNTI YA MOMBASA

Mwenyekiti wa Msalaba mwekundu kaunti ya Mombasa Mahmoud Noor amesema zaidi ya vijana 450 wamefaidika kutokana na mafunzo ya namna ya kutafuta ajira kupitia mashirika ambayo siyo ya kiserikali. Mahmoud amesema mafunzo hayo ambayo yaliandaliwa na shirika la Msalaba Mwekundu katika kaunti hiyo yalijumuisha vijana kutoka maeneo bunge yote 6 ya Mombasa. Amesema kupitia mafunzo

ZAIDI YA VIJANA 450 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA NAMNA YA KUTAFUTA AJIRA KAUNTI YA MOMBASA Read More »

GAVANA WA TANA RIVER AZILAUMU BAADHI YA JAMII KAUNTI YA TANA RIVER

Gavana wa kaunti ya Tana River Dhadho Godhana amezilaumu baadhi ya jamii zilizoko kwenye kaunti hiyo kutokana na kile ambacho anadai kuendelea kuzingatia tamaduni ambazo zinaathiri shughuli za maendeleo kaunti ya Tana River. Amesema hulka ya jamii hizo kuendeleza mila na tamaduni hizo ambazo hazina msingi wowote zimechangia kwa baadhi wenyeji kupinga miradi ambayo inatekelezwa

GAVANA WA TANA RIVER AZILAUMU BAADHI YA JAMII KAUNTI YA TANA RIVER Read More »