Janet Mumbi

JOPO LA KUSKIZA NA KUCHUKUA MAONI KAUNTI YA TANA RIVER LATAKIWA KUTEKELEZA MAPENDEKEZO YANAYOTOLEWA NA WENYEJI

Afisa katika shirika la kijamii la KECOSCE kaunti ya Tana River, Steven Otoi amelitaka jopo la kuskiza na kuchukua mapendekezo ya mwananchi ya mipangilio ya serikali ya kaunti ya miaka mitano CIDP kuhakikisha inatekeleza mapendekezo ambayo yalitolewa kwenye vikao vya kukusanya maoni ya umma. Otoi amesema serikali ya kaunti imekua na tabia ya kutekeleza miradi […]

JOPO LA KUSKIZA NA KUCHUKUA MAONI KAUNTI YA TANA RIVER LATAKIWA KUTEKELEZA MAPENDEKEZO YANAYOTOLEWA NA WENYEJI Read More »

MASHIRIKA NA WAHISANI PAMOJA NA VIONGOZI WA KISIASA WAHIMIZWA KUJITOKEZA KUTOA UFADHILI WA MASOMO MAGARINI

Vuguvugu la sauti ya wanawake eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi limetoa wito kwa mashirika, wahisani pamoja viongozi wa kisiasa, kujitokeza na kutoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wanaopaswa kujiunga na shule za upili eneo hilo. Kwa mujibu wa kiongozi wa vuguvugu hilo Bibiana Salim, kuna idadi kubwa ya wanafunzi ambao walipata matokeo bora

MASHIRIKA NA WAHISANI PAMOJA NA VIONGOZI WA KISIASA WAHIMIZWA KUJITOKEZA KUTOA UFADHILI WA MASOMO MAGARINI Read More »

OPARESHENI YA LINDA BONI KUENDELEZWA KWENYE KAUNTI YA LAMU

Meja Jenerali Juma Mwinyikai amesema operesheni linda Boni katika kaunti ya Lamu imesaidia kudhibiti usalama wa eneo la msitu wa Boni na kaunti ya Lamu kwa Jumla. Akizungumza akiwa kaunti ya Lamu Mwinyikai amesema mikakati ambayo imewekwa na idara ya usalama nchini itasaidia katika kuboresha usalama hata zaidi. Aidha, amesema licha ya kushuhudiwa kwa mashambulizi

OPARESHENI YA LINDA BONI KUENDELEZWA KWENYE KAUNTI YA LAMU Read More »