MICHEZO ITAPIGA VITA UHALIFU LAMU – WAKAAZI
Michezo katika kaunti ya Lamu ni kati ya silaha moja ya kupiga vita uwepo wa vita baina ya jamii zinazo zozana katika kaunti hiyo. Hii ni kulingana na wakazi pamoja na wadau wa michezo Lamu ambao wanalalama kuwepo na ukosefu wa usalama kutokana na mashambuilizi ya magaidi wa Alshabab pamoja na jamii zinazopigana kisa ardhi […]
MICHEZO ITAPIGA VITA UHALIFU LAMU – WAKAAZI Read More »



