Janet Mumbi

NAIBU GAVANA WA LAMU AMEWAHAKIKISHIA WENYEJI WA MARARANI HUDUMA BORA ZA MAJI

Naibu Gavana wa kaunti ya Lamu Rapahel Munyua amewahakikishi wenyeji wa Mararani eneo bunge la Lamu Mashariki huduma bora za maji kutoka katika serikali ya kaunti ya Lamu. Akizungumza katika eneo hilo la Mararani amesema serikali itaanzisha zoezi la ugavi wa dawa za kuyasafisha maji wanayoyatumia wenyeji ili kudhibiti magonjwa mbalimbali yanayotokana na maji chafu. […]

NAIBU GAVANA WA LAMU AMEWAHAKIKISHIA WENYEJI WA MARARANI HUDUMA BORA ZA MAJI Read More »

BUNGE LA KAUNTI YA KILIFI KUTENGA MILIONI MOJA KILA WADI ILI KUIMARISHA MICHEZO

Bunge la kaunti ya kilifi limepitisha mswada wa kutenga bajeti ya shilingi milioni moja kila wadi ili kusaidia kuimarisha michezo kupitia kuwawezesha wachezaji. Rashid Odhiambo ambaye ni mwakilishi wadi wa mji wa Malindi amesema kwamba changamoto ya usafiri ndio jambo ambalo sasa wanalenga kulikabili katika awamu ya pili kwa kutenga bajeti ambapo wanalenga kununua mabasi

BUNGE LA KAUNTI YA KILIFI KUTENGA MILIONI MOJA KILA WADI ILI KUIMARISHA MICHEZO Read More »