KIPCHUMBA MURKOMEN ASEMA KUFIKIA MWISHONI MWA MWEZI APRILI KUTAKUWA NA MKURUGENZI MPYA WA KPA
Waziri wa uchukuzi na miundo mbinu nchini Kipchumba Murkomen amesema kufikia mwishoni mwa mwezi April mwaka huu wa 2023, Mamlaka ya bandari nchini KPA inatarajiwa kuwa na mkurugenzi mkuu mpya. Akizungumza katika kaunti ya Mombasa Murkomen amesema Bodi ya KPA ndiyo ambayo ina jukumu la kumteua mkurugenzi mkuu ambaye atachukua nafasi ya John Mwangemi ambaye […]



