Paps Mkare

NAMBA TATU ZA KLOPP ZAREJEA NA KUMPA TUMAINI

Mkufunzi mkuu wa klabu ya Liverpool Jergen Klopp amesema kwamba fowadi wa ureno Diogo Jota, beki Virgil Van Dijk pamoja na Roberto Firmino watashirikishwa katika mechi ya usiku wa leo dhidi ya Everton katika dabi ya Merseyside   itakayorindimwa katika dimba la Anfield saa tano usiku. Mkufunzi huyo raia wa Ujerumani anasema kwamba ako tayari kuchukua […]

NAMBA TATU ZA KLOPP ZAREJEA NA KUMPA TUMAINI Read More »

SANGO SPORTIFF YASAJILI USHINDI MUHIMU LAMU, BEACH BAY IKIKOSA HUHESHIMU RATIBA DARAJA LA PILI.

Bao la fowadi Samuel Chikola ndio bao la pekee lililosababisha vijana wa furunzi fc wikendi ilopita kusajili ushindi dhidi ya klabu ya Simba Apparel katika mechi ilochezwa dimbani Alaskan mjini Malindi kaunti ya Kilifi. Ushindi huo wa bao 1-0 unaifanya Furunzi Fc ya mkufunzi Nero Chishenga sasa kupanda hadi nafasi ya tano wakiwa na alama

SANGO SPORTIFF YASAJILI USHINDI MUHIMU LAMU, BEACH BAY IKIKOSA HUHESHIMU RATIBA DARAJA LA PILI. Read More »