SADIO MANE KUKOSA NA WAWILI WENGINE KUKOSEKANA UEFA
Bingwa wa taji la Afcon mwaka 2021 mwite Sadio Mane atakosekana katika mechi ya leo ya klabu bingwa ulaya ambapo kikosi cha Bayern Munich Kitasafiri kwenda jijini Paris Ufaransa kuvaana na PSG. Sadio Mane amekuwa mkekani kwa kipindi cha miezi mitatu sasa baada ya kupata jeraha mwaka jana katika mechi za Bundesliga, jeraha ambalo lilimkosesha […]
SADIO MANE KUKOSA NA WAWILI WENGINE KUKOSEKANA UEFA Read More »



