Janet Mumbi

MAHAKAMA YA MALINDI YATUPILIA MBALI KESI ILIYOWASILISHWA KUPINGA USHINDI WA GAVANA MUNG’ARO WA KILIFI

Mahakama kuu ya Malindi kaunti ya Kilifi imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa katika mahakama hiyo ili kupinga ushindi wa gavana wa kaunti ya Kilifi Gedion Mung’aro ulioandaliwa Agosti tisa mwaka jana wa 2022. Akitoa uamuzi huo jaji wa mahakama hiyo ya Malindi Anne Onginjo, amesema kesi hiyo ilikosa ushahidi wa kutosha na kusababisha kutupiliwa mbali. Jaji […]

MAHAKAMA YA MALINDI YATUPILIA MBALI KESI ILIYOWASILISHWA KUPINGA USHINDI WA GAVANA MUNG’ARO WA KILIFI Read More »