MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI VINAENDELEA KUONGEZEKA ENEO LA CHANGAMWE
Afisa wa afya ya umma kaunti ndogo ya Changamwe kaunti ya Mombasa, Boniface Mbindyo amesema kuwa idadi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi imefikia elfu 39 katika kaunti ndogo hiyo. Mbindyo amesema kuwa kuna haja ya hamasa kwa umma kuimarishwa kuhusiana na mbinu za kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi ili kuona kwamba […]
MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI VINAENDELEA KUONGEZEKA ENEO LA CHANGAMWE Read More »



