Paps Mkare

SERIKALI YA KILIFI YALENGA KUANZISHA MASHINDANO YA GOVERNOR’S CUP

Wizara ya michezo na jinsi katika kaunti ya Kilifi inalenga kuanzisha mashindano ya Governors Cup mwaka huu katika lengo la kusaidia na kuinua vipaji vya michezo kwa vijana katika kaunti hii. Akizungumza na tama la spoti asubui ya leo Ruth Dama masha ambaye ni waziri wa michezo katika kaunti ya kilifi anasema mashindano hayo yanalenga

SERIKALI YA KILIFI YALENGA KUANZISHA MASHINDANO YA GOVERNOR’S CUP Read More »

TULILEMEWA NA UCHOVU LAKINI WIKENDI IJAYO TUTASHINDA – BENARD LUSI

Nahodha wa klabu ya Malindi Progressive mwite Bernard Lusi anasema uchovu wa wachezaji kutokana na changamoto ya usafiri ndio jambo kubwa lililowaponza wikendi ilopita walipopiga sare ya bao 1-1 dhidi ya klabu ya Kibera Soccer jijini Nairobi. Kulingana na Lusi ni kwamba basi lao walilokuwa wameabiri liliharibika katikati ya safari tukio ambalo liliwafanya kuchelewa kufika

TULILEMEWA NA UCHOVU LAKINI WIKENDI IJAYO TUTASHINDA – BENARD LUSI Read More »