YUSUF LULE ATOA WITO KWA SERIKALI KUU KUWEKA MIKAKATI YA KUKABILIANA NA UKOSEFU WA USALAMA
Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu katika kaunti ya Mombasa yakiongozwa na lile ya HURIA yametoa wito kwa serikali kuu kuweka mikakati ambayo itakabiliana na visa vya ukosefu wa usalama nchini. Yakiongozwa na mkurugenzi mkuu wa shirika la HURIA Yusuf Lule yamesema hali hiyo inaendelea kuathiri shughuli nyingi nchini pamoja na maisha ya Wakenya. Lule […]



