IDARA YA USALAMA KAUNTI YA TANA RIVER YATAKIWA KUTUMIA NJIA YA MAZUNGUMZO KUSULUHISHA MIZOZO
Idara ya usalama katika kaunti ya Tana River imetakiwa kutumia njia ya mazungumzo katika kuleta suluhu la mizozo, iliyoko katika kaunti hiyo na kupata suluhu la kudumu. Kwa mujibu wa gavana wa kaunti hiyo Dhado Godana zipo njia nyingi za wananchi kusuluhisha matatizo yanayowakabili, kando na kuwakamata vijana wanaokisiwa kuhusika katika vita kwenye jamii. Akizungumza […]



