Janet Mumbi

GAVANA ANDREW MWADIME ASEMA JITIHADA ZINAWEKWA KUHAKIKISHA KUNA MAJI KAUNTI YA TAITA TAVETA

Serikali ya kaunti ya Taita Taveta inafanya kila jitihada kuhakikisha kuna maji katika kaunti hiyo ili kuwaepusha wenyeji dhidi ya kuhangaika wakisaka maji. Haya ni kwa mujibu wa Gavana wa kaunti hiyo Andrew Mwadime, ambaye anasema kaunti ya Taita Taveta ina mchanga mzuri kwa ajili ya kilimo, lakini changamoto kubwa kwa sasa ni ukosefu wa […]

GAVANA ANDREW MWADIME ASEMA JITIHADA ZINAWEKWA KUHAKIKISHA KUNA MAJI KAUNTI YA TAITA TAVETA Read More »

NAIBU GAVANA WA KAUNTI YA KILIFI AWAPONGEZA WALIMU AMBAO WANAFUNZI WAO WALIFANYA VYEMA KWENYE MITIHANI YA KITAIFA

Naibu gavana wa kaunti ya Kilifi Flora Chibule amepongeza hatua ya mbunge wa eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi, Amina Mnyazi kuandaa hafla ya kuwazawadi walimu bora baada ya wanafunzi wao kufanya vyema kwenye mitihani ya KCPE na KCSE katika shule za msingi na upili zilizopo eneo bunge la Malindi. Akizungumza katika hafla hiyo

NAIBU GAVANA WA KAUNTI YA KILIFI AWAPONGEZA WALIMU AMBAO WANAFUNZI WAO WALIFANYA VYEMA KWENYE MITIHANI YA KITAIFA Read More »

SERIKALI YA KAUNTI YA LAMU KUENDELEZA SHUGHULI ZA KUPANGA MIJI YA KAUNTI HIYO

Gavana wa kaunti ya Lamu, Issaa Timamy amesema wanaendeleza shughuli za kupanga upya miji ya kaunti ya Kaunti ya Lamu. Kiongozi huyo amesema kwa sasa wapo maafisa ambao wanazunguka mashinani, ili kufanya vikao vya wananchi kutoa maoni yao kuhusiana na mipangilio ya serikali ya kaunti hiyo. Gavana huyo amesema kuwa mji wa lamu utakuwa na

SERIKALI YA KAUNTI YA LAMU KUENDELEZA SHUGHULI ZA KUPANGA MIJI YA KAUNTI HIYO Read More »