KLABU YA BARCELONA YAONGEZA PENGO LAO NA REAL MADRID
Katika ligi ya uhispania ni kwamba Barcelona wamerefusha pengo lao na nafasi ya pili Real Madrid hadi alama 8 ikiwaweka wanakatelonya hao katika nafasi nzuri ya kugombania ubingwa msimu huu. Hii ni baada ya jana kuitandika klabu ya Cadiz kichapo cha mabao 2-0 katika mechi ambayo Sergio Roberto aliingia kimyani dakika ya 43 na hatimaye […]
KLABU YA BARCELONA YAONGEZA PENGO LAO NA REAL MADRID Read More »



