IDADI KUBWA YA WASICHANA WALIOFANYA MTIHANI WA KCPE KATIKA SHULE YA MSINGI YA BOFU WAKOSA KUJIUNGA NA SHULE ZA UPILI
Idadi kubwa ya wasichana waliofanya vyema katika mtihani wa KCPE kwenye shule ya msingi ya Bofu eneo bunge la Kilifi Kaskazini kaunti ya Kilifi, wamekosa kujiunga na shule za upili kutokana na kile ambacho kinadaiwa kuchangiwa na ukosefu wa karo. Haya ni kwa mujibu wa katibu mkuu wa vuguvugu la vijana la KILIFI YOUTH ON […]



