Janet Mumbi

MWEKEZAJI ANAYECHIMBA MADINI ENEO LA KISHUSHE AMEAHIDI KULIPA WENYE ARDHI FEDHA ZAO

Waziri wa madini na uchumi wa raslimali za baharini nchini Salim Mvurya amesema mwekezaji ambaye anachimba madini katika eneo la Kishushe, Wundanyi kaunti ya Taita Taveta ameahidi kulipa wenyeji jumla ya shilingi milioni 30 ambazo amekuwa akidaiwa na wenye ardhi kwa zaidi ya miaka 3. Mvurya ameitaja kama hatua ambayo inaridhisha kwani awali juhudi za […]

MWEKEZAJI ANAYECHIMBA MADINI ENEO LA KISHUSHE AMEAHIDI KULIPA WENYE ARDHI FEDHA ZAO Read More »

WITO WA KUWEPO KWA MABARAZA YA SOKA WATOLEWA

Wito umetolewa kwa viongozi wa michezo katika kaunti za pwani kuungana na kushinikiza wanasiasa waliochaguliwa ili kutimiza ahadi zao. Ferdinand Mwambire ambaye ni mkufunzi wa soka katika kaunti ya kilifi anasema ni wakati sasa viongozi wa soka katika mkoa mzima wa pwani kuja pamoja na kuanzisha mikakati ya kushinikiza viongozi walioko mahakamani kutimiza ahadi nyingi

WITO WA KUWEPO KWA MABARAZA YA SOKA WATOLEWA Read More »

WADAU WA SOKA LA MALINDI WALALAMA MAREFA HAWASHIRIKISHWI

Wadau wa soka la kaunti ya Kilifi wanalalama kuhusu kutohusishwa kwa marefa wa kaunti hii katika mechi za daraja la pili kitaifa kwenye mechi zinazochezwa katika kaunti ya Kilifi tofauti na zile zinazochezwa katika kaunti nyingine. Akizungumza na tama la spoti jioni ya leo mkufunzi Nero Chishenga anasema kwamba uongozi wa soka la daraja la

WADAU WA SOKA LA MALINDI WALALAMA MAREFA HAWASHIRIKISHWI Read More »