Janet Mumbi

WANAWAKE KAUNTI YA TAITA TAVETA WAHIMIZWA KUWANIA NAFASI ZA MBALIMBALI ZA UONGOZI

Naibu kamishna wa kaunti ya Taita Taveta Christine Kilalo amewahimiza wanawake katika kaunti hiyo kuwania nafasi mbalimbali za uongozi baada ya kubainika ni asilimia 5 pekee ya wanawake ambao walichaguliwa kwenye kipute cha uchaguzi mkuu wa Agosti 9 mwaka jana wa 2022. Kilalo amesema kutokana na hilo sasa wameanzisha harakati za kuwahimiza wanawake wengi kujitokeza […]

WANAWAKE KAUNTI YA TAITA TAVETA WAHIMIZWA KUWANIA NAFASI ZA MBALIMBALI ZA UONGOZI Read More »

WIZARA YA AFYA KAUNTI YA KILIFI KUTENGA SHILINGI MILIONI TANO

Idara ya afya kaunti ya Kilifi imetenga kima cha shilingi milioni tano katika bajeti ya mwaka 2022/2023, ili kutekeleza ujenzi wa kitengo cha wagonjwa kufanyiwa vipimo vya X-ray, katika hospitali ya Bamba eneo bunge la Ganze kaunti ya Kilifi. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa kamati ya afya katika bunge la kaunti ya Kilifi Edward Kazungu,

WIZARA YA AFYA KAUNTI YA KILIFI KUTENGA SHILINGI MILIONI TANO Read More »

GAVANA WA KAUNTI YA KILIFI GEDION MUNG’ARO ASEMA WANAPANIA KUONGEZA MGAO WA FEDHA ZA BASARI

Gavana wa kaunti ya Kilifi Gedion Maitha Mung’aro amesema wanapania kuongeza mgao wa fedha za basari kwa wanafunzi ili kuwawezesha wale ambao walipata alama za juu wanajiunga na shule za upili kwa wakati ufaao. Amesema serikali ya kaunti ya Kilifi inapania kutenga kima cha shilingi bilioni moja ili kufanikisha hilo. Awali serikali ya kaunti ya

GAVANA WA KAUNTI YA KILIFI GEDION MUNG’ARO ASEMA WANAPANIA KUONGEZA MGAO WA FEDHA ZA BASARI Read More »