MAGAVANA WA PWANI KUWASILISHA MATAKWA YAO KWA RAIS WILLIAM SAMOEI RUTO
Gavana wa kaunti ya Kilifi Gedion Maitha Mung’aro amesema magavana wote wa kaunti za pwani wataungana na kisha kuwasilisha matakwa yao kwa rais William Samoei Ruto. Akizungumza kwenye kaunti ya Mombasa katika kongamano la Muungano wa Jumuiya ya kaunti za pwani na mawaziri wa fedha kutoka ukanda wa pwani, Mung’aro ambaye pia ni mwenyekiti wa […]
MAGAVANA WA PWANI KUWASILISHA MATAKWA YAO KWA RAIS WILLIAM SAMOEI RUTO Read More »



