Paps Mkare

USAFIRI ULITUPONZA WIKENDI, ASEMA COLLINS OMOL MKUFUNZI WA YANGA

Mkufunzi wa klabu ya Yanga Collins Omol kutoka mjini Malindi kaunti ya Kilifi, klabu inayocheza daraja la pili kitaifa anasema ugumu wa usafiri unasalia kuwa changamoto kubwa katika klabu yake kwa sasa jambo ambalo liliiponza Yanga katika mechi ya ugenini wikendi ilopita mjini Mombasa ambako walipoiga sare ya bao 1-1 dhidi ya klabu ya Ashton

USAFIRI ULITUPONZA WIKENDI, ASEMA COLLINS OMOL MKUFUNZI WA YANGA Read More »

HURIA YAANDAA MAONYESHO YA UTAMADUNI KWENYE UKUMBI WA TONONOKA

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la kutetea haki za kibinadamu la HURIA Yusuf Lule amesema maomyesho ya utamaduni ambayo yaliandaliwa jana kwenye ukumbi wa Tononoka kaunti ya Mombasa na kuwaleta pamoja wanawake wa jamii mablimbali yalipania kuhamasisha dhidi ya dhuluma za kijinsia. Kulingana na Lule wanashirikiana na shirika la SEARCH FOR COMMON GROUND kuhamasisha wanawake wa

HURIA YAANDAA MAONYESHO YA UTAMADUNI KWENYE UKUMBI WA TONONOKA Read More »