Janet Mumbi

VISA VYA WASICHANA KUACHA MASOMO KUTOKANA NA UJAUZITO VINAENDELEA KUKITHIRI TAITA TAVETA

Kamanda wa polisi kaunti ya Kwale Josphat Kinyua amesema visa vya wasichana kuacha masomo kufuatia ujauzito vinazidi kukithiri katika maeneo mengi ya kaunti hiyo. Kinyua amesema visa hivyo vinachangia kwa ongezeko la umaskini katika jamii huku akiwataka wanajamii kupatia elimu kipaumbele. Kufuatia hilo, kamanda huyo pamoja na wakuu wengine wa usalama wamesisitiza haja ya jamii […]

VISA VYA WASICHANA KUACHA MASOMO KUTOKANA NA UJAUZITO VINAENDELEA KUKITHIRI TAITA TAVETA Read More »

GAVANA ACHANI APUUZA MADAI KUWA SERIKALI YA KWALE INAPEANA BASARI KIUBAGUZI

Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani amesema wanafunzi ambao watapata ufadhili wa masomo ya shule za upili ni wa kaunti hiyo. Akizungumza akiwa mjini Kwale amewataka wenyeji wa kaunti hiyo kutoingiza siasa kwenye ugavi wa fedha za basari kwa wanafunzi ambao sio wa kaunti hiyo na kusema huenda hilo likachangia kwa wao kukosa kufanya

GAVANA ACHANI APUUZA MADAI KUWA SERIKALI YA KWALE INAPEANA BASARI KIUBAGUZI Read More »