Paps Mkare

MANCITY, FULHAM,, BLACKBURN PAMOJA NA BRIGHTON ZAFUZU ROBO FAINALI FA

Klabu ya Brighton usiku wa kuamkia leo imesajili ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Stock City, Blackburn Rovers wakiitandika Leicester city kichapo cha 2-1. Fulham imeibuka na usindi wa mabao 2-0 dhidi ya LeeDS UNITED NA HATIMAYE Mancity ikiigaragaza Bristal City MABAO 3-0. Kwa matokeo hayo BRIGHTON, Blackburn Rovers pamoja na Fulham zitaungana na Mancity […]

MANCITY, FULHAM,, BLACKBURN PAMOJA NA BRIGHTON ZAFUZU ROBO FAINALI FA Read More »

WITO UMETOLEWA KWA TALANTA ZA MASHINANI KUTAMBULIWA

Wito umetolewa kwa viongozi wa michezo kuingia mashinani zaidi kutambua na kukuza talanta za vijana katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi. Akizungumza na Tama la Spoti baada ya mashindano ya soka yaliyokuwa yanatumika kuzindua mradi wa kusambaza injili na shirika la Youth For Christ Kenya mjini marafa katika uwanja wa Polytechnic, mkurugenzi mkuu

WITO UMETOLEWA KWA TALANTA ZA MASHINANI KUTAMBULIWA Read More »