Sharon Idza

SUALA LA USHOGA NA USAGAJI LAZIDI KUIBUA HISIA MSETO MIONGONI MWA VIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU MALINDI

Baadhi ya Viongozi wa dini ya kiislamu eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi wametoa wito kwa Wakenya, kujitokeza na kupinga mapenzi ya watu wa jinsia moja kuoana. Wakiongozwa na aliyekuwa mwenyekiti wa Malindi Supreme Council Sheik Salim Omar Juma, ametaja mapenzi hayo kuwa kinyume cha maadili ya dini hiyo na kusema Mungu hulaani kila

SUALA LA USHOGA NA USAGAJI LAZIDI KUIBUA HISIA MSETO MIONGONI MWA VIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU MALINDI Read More »

ALI WARIO GUYO AWASHAURI WENYEJI WA TANA DELTA KUTHAMINI KILIMO NYUNYIZI

Mbunge wa Garsen kaunti ya Tana River Ali Wario Guyo, amewashauri wakaazi wa Tana Delta kuthamini kilimo nyunyizi kama mbinu ya kukabiliana na baa la njaa. Guyo amesema upanzi kupitia kilimo nyunyizi utaimarisha uzalishaji wa chakula ikizingatiwa kwamba hali ya kiangazi imesababisha kuadimika kwa mvua. Aidha Guyo amewakosoa baadhi ya makundi ambayo yalipewa mitambo ya

ALI WARIO GUYO AWASHAURI WENYEJI WA TANA DELTA KUTHAMINI KILIMO NYUNYIZI Read More »