Janet Mumbi

WENYEJI WA TAITA TAVETA WANAOISHI KARIBU NA MBUGA YA WANYAMAPORI YA TSAVO WAIBUA LALAMA ZAO

Wakaazi wa kaunti ya Taita Taveta hususan wanaoishi karibu na mbuga ya kitaifa ya wanyamapori ya Tsavo wanalalamikia kero la wanyamapori na kulitaka shirika Hilo kuwajibika ipasavyo. Wakiongozwa na mwakilishi wa wadi ya Wumingu – Kishushe Newton Kifuso wanasema uvamizi huo unasababisha shughuli zao nyingi kulemazwa. Aidha, Kifuso ametoa wito kwa idara ya usalama kushirikiana […]

WENYEJI WA TAITA TAVETA WANAOISHI KARIBU NA MBUGA YA WANYAMAPORI YA TSAVO WAIBUA LALAMA ZAO Read More »

WENYEJI WA KAUNTI YA LAMU WAPATA IDHINI YA KUHIFADHI NA KULINDA MIKOKO

Wakaazi wa Lamu wamepata idhini ya kuhifadhi na kulinda mikoko baada ya mkataba wa maelewano kuwekwa kati yao, serikali na mashirika mbalimbali ya kuhifadhi mikoko. Ni hatua ambayo inalenga kuimarisha mikoko na kuboresha kiuchumi kaunti hiyo ya Lamu na hii kutokana na asilimia 60 ya mikoko yote humu nchini kupatikana kaunti hiyo ya Lamu. Aidha

WENYEJI WA KAUNTI YA LAMU WAPATA IDHINI YA KUHIFADHI NA KULINDA MIKOKO Read More »

MAAFISA WA EACC KANDA YA PWANI KASKAZINI WAMTIA MBARONI AFISA ANAYEFANYA KAZI KATIKA SERIKALI YA KAUNTI YA TANA RIVER

Maafisa wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini EACC kanda ya pwani kaskasini wakishirikiana na maafisa wa polisi wamefaulu kumtia mbaroni afisa mmoja wa kaunti ya Tana River katika uwanja wa ndege wa Malindi kaunti ya Kilifi akiwa na shilingi milioni mbili na laki saba. Akithibitisha kukamatwa kwa afisa huyo meneja wa tume

MAAFISA WA EACC KANDA YA PWANI KASKAZINI WAMTIA MBARONI AFISA ANAYEFANYA KAZI KATIKA SERIKALI YA KAUNTI YA TANA RIVER Read More »