Janet Mumbi

ANSELM MWADIME AWATAKA WAZAZI KATIKA KAUNTI YA TAITA TAVETA KUWAJIBIKIA MAJUKUMU YAO YA ULEZI KWA WATOTO WAO

Wazazi kaunti ya Taita Taveta wametakiwa kuhakikisha wanawajibikia majukumu yao ya ulezi kama vile kuhakikisha watoto wao wanapata haki ya elimu. Ni wito uliotolewa hasa kwa wazazi ambao watoto wao wanafadhiliwa na serikali ya kaunti kuhakikisha ada ndogondogo zinazotolewa shuleni haziwi sababu ya watoto wao kukosa masomo. Kwa mujibu wa naibu spika wa bunge la […]

ANSELM MWADIME AWATAKA WAZAZI KATIKA KAUNTI YA TAITA TAVETA KUWAJIBIKIA MAJUKUMU YAO YA ULEZI KWA WATOTO WAO Read More »

VISA VYA MATATIZO YA KIAFYA VINAENDELEA KUATHIRI BAADHI YA VIJANA KANDA YA PWANI

Idadi kubwa ya visa vya matatizo ya kiafya kwa baadhi ya wenyeji wa Pwani, vimechangiwa zaidi na suala la wao kushauriwa kutotumia madawa wamapougua. Haya ni kwa mujibu wa afisa katika shirika linalohusika na masuala ya kudhibiti magonjwa mbalimbali nchini la NATIONAL SYNDEMIC DISEASES CONTROL COUNCIL, Ezekiel Mwabili  ambaye amesema wagonjwa wengi wamekuwa wakipotoshwa na usharui

VISA VYA MATATIZO YA KIAFYA VINAENDELEA KUATHIRI BAADHI YA VIJANA KANDA YA PWANI Read More »

ASKOFU MARTIN KIVUVA AMEITAKA SERIKALI KUU KUWEKEZA ZAIDI KATIKA MIRADI YA UCHIMBAJI WA MABWAWA NCHINI

Askofu mkuu wa kanisa katoliki jimbo la Mombasa Martin Kivuva ameitaka serikali kuu kupitia idara husika kuwekeza zaidi katika miradi ya uchimbaji mabwawa ili kudhibiti baa la njaa na kaingazi nchini. Akizungumza katika kaunti ya Mombasa Kivuva amesema iwapo hilo litatekelezwa itakuwa afueni kwani hakutakuwa na visa vya watu kukabiliwa na baa la njaa nchini

ASKOFU MARTIN KIVUVA AMEITAKA SERIKALI KUU KUWEKEZA ZAIDI KATIKA MIRADI YA UCHIMBAJI WA MABWAWA NCHINI Read More »