WAKEREKETWA WA HAKI ZA KIBINADAMU WAMTAKA RAIS RUTO KUPUNGUZA BEI ZA BIDHAA
Wakereketwa wa maswala ya kijamii wamemtaka rais William Samoei Ruto kupunguza bei za bidhaa kwa kushusha ada na kodi zinazotozwa kwa bidhaa na huduma za kimsingi kama kawi, mafuta na vyakula. Wakereketwa hao kutoka shirika la kutetea haki za kibinadamu la MUHURI, wakiongozwa na Francis Auma ambaye ni afisa wa dharura katika shirika hilo wamekosoa […]
WAKEREKETWA WA HAKI ZA KIBINADAMU WAMTAKA RAIS RUTO KUPUNGUZA BEI ZA BIDHAA Read More »



