Janet Mumbi

FRED MATIANG’I ATARAJIWA KUFIKA KATIKA AFISI ZA DCI

Aliyekuwa waziri wa usalama wa ndani, Dkt. Fred Matiangi sasa anatarajiwa kufika katika ofisi za idara ya DCI, kuandikisha taarifa kuhusiana na yaliyojiri mwezi Februari tarehe 8 ambapo kuibuliwa madai kuwa maafisa wa polisi walivamia nyumbani kwake swala lililopingwa na mkuu wa idara ya upelelezi Mohamed Amin. Hii ni baada ya Matiangi kuwasili nchini baada […]

FRED MATIANG’I ATARAJIWA KUFIKA KATIKA AFISI ZA DCI Read More »

LAZIMA TUISHINDE LIVERPOOL ILI TUNG’ANG’ANIE UBINGWA WA LIGI

Mkufunzi Erick Ten Hag anasema kwamba ni sharti vijana wake wasajili ushindi dhidi ya Liverpool ili vijana wake wasalie katika kinyanganyiro cha kuwania ubingwa wa ligi kuu msimu huu. The Red Devils watasafiri hadi Anfield siku ya jumapili kuchuana na wekundu wa Mersisyde wanaoongozwa na mkufunzi Jergen Klopp. Kwa upande wake Klopp anasema ushindi wa

LAZIMA TUISHINDE LIVERPOOL ILI TUNG’ANG’ANIE UBINGWA WA LIGI Read More »