FRANCIS AUMA AILAUMU SERIKALI KWA KUWAHANGAISHA WANAHARAKATI WANAOANDAA MAANDAMANO NCHINI
Afisa wa dharura katika shirika la kutetea haki za kibinadam la MUHURI Francis Auma, amelalamikia hatua ya serikali kuwahangaisha baadhi ya wanaharakati wanaofanya maandamano humu nchini akisema sio sahihi. Kulingana na Auma ni kuwa hatua ya wanaharakati kuandaa maandamano kutokana na kuwepo kwa gharama ya juu ya vyakula, ni haki yao kwa mujibu wa sheria […]



