MCHEZAJI WA KANTONGA FC YWAOMBA MSAADA WA MATIBABU
John King’oo nahodha wa klabu ya Kantonga kutoka kaunti ya Taita Taveta atakosekana kiwanjani kwa kipindi kirefu kutokana na kuvunjika mguu katika mechi ya Jumamosi ambapo Kantonga ilipigwa sare tasa dhidi ya klabu Yanga uwanjani Alaskan. King’oo alivunjika mguu baada ya kugongana ana kwa ana Michael Agolla kipa wa Yanga. Katika taarifa iliyochapishwa mitandaoni mchezaji […]
MCHEZAJI WA KANTONGA FC YWAOMBA MSAADA WA MATIBABU Read More »



