Janet Mumbi

PETER SHAKE ASEMA HAUNGI MKONO MAANDAMANO YA MUUNGANO WA AZIMIO LA UMOJA ONE KENYA

Mbunge wa Mwatate kaunti ya Taita Taveta Peter Shake amesema hatua ya baadhi ya wanasiasa wa Azimio La Umoja One Kenya kujiunga na ule wa Kenya Kwanza inatokana na msukumo wa maendeleo katika maeneo ambayo wanawakilisha. Akizungumza katika eneo bunge lake La Mwatate Shake ambaye ni mwanachama wa chama cha Jubilee amesema haungi mkono harakati […]

PETER SHAKE ASEMA HAUNGI MKONO MAANDAMANO YA MUUNGANO WA AZIMIO LA UMOJA ONE KENYA Read More »

WADAU KWENYE SEKTA YA ELIMU KAUNTI YA TAITA TAVETA WAANZISHA MAFUNZO KWA WANAFUNZI WA SHULE ZA UPILI

Wadau mbalimbali wa elimu katika kaunti ya Taita Taveta wameanzisha mafunzo kwa wanafunzi wa shule za upili kuhusu suala la maadili na namna ya kujiepusha na visa vya ufisadi. Mmoja wa wadau hao Shadrack Mutungi amesema wanashirikiana na maafisa wa tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi kwenye mafunzo hayo na kuitaja kama hatua ambayo

WADAU KWENYE SEKTA YA ELIMU KAUNTI YA TAITA TAVETA WAANZISHA MAFUNZO KWA WANAFUNZI WA SHULE ZA UPILI Read More »

AZHAR MBARAK AITAKA SERIKALI KUU KUFANYIA MAREKEBISHO VITENGO VYA USALAMA KAUNTI YA LAMU

Spika wa bunge la kaunti ya Lamu Azhar Mbarak ameitaka serikali kuu kufanyia marekebisho vitengo vya usalama ambavyo viko kwenye kaunti hiyo kama kubadilisha maafisa wa kitengo cha upelelezi NIS. Mbarak amesema maafisa hao wanapaswa kuhamishwa na kupelekwa kwenye kaunti zingine na kisha kuletwa wengine wapya hatua ambayo amesema itamwezesha rais William Samoei Ruto kupata

AZHAR MBARAK AITAKA SERIKALI KUU KUFANYIA MAREKEBISHO VITENGO VYA USALAMA KAUNTI YA LAMU Read More »