Paps Mkare

IDADI KUBWA YA WANAUME KAUNTI YA KILIFI HAWAJAKUWA WAKIJUKUMIKA KUZINGATIA AFYA YA UZAZI KWA WAKE ZAO

Wanaume wengi kaunti ya KIlifi hawajakuwa wakijukumika katika kuzingatia afya ya uzazi kwa wake zao wakati wanapokuwa na ujauzito. Haya ni kwa mujibu wa afisa wa afya ya jamii katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi, Edwin Ogoma ambaye ametaja suala hilo kuwa changamoto kuu kwani wengi wa wanaume hao hukosa kufahamu umuhimu wa

IDADI KUBWA YA WANAUME KAUNTI YA KILIFI HAWAJAKUWA WAKIJUKUMIKA KUZINGATIA AFYA YA UZAZI KWA WAKE ZAO Read More »