SAMSON ZIA ALALAMIKIA KUTOKUKAMILIKA KWA UJENZI WA VITUO VINGI VYA AFYA WADI YA ADU
Mwakilishi wa wadi ya Adu eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi, Samsson Zia amelalamikia kutokamilika kwa ujenzi wa vituo vingi vya afya katika wadi yake na kusema inasababisha wenyeji kukosa huduma za matibabu. Kulingana na Zia ujenzi wa kituo cha afya cha Shakahola, Adimae Adu na Chakama, ulisitishwa mwaka wa kifedha wa 2015 – […]
SAMSON ZIA ALALAMIKIA KUTOKUKAMILIKA KWA UJENZI WA VITUO VINGI VYA AFYA WADI YA ADU Read More »


