Janet Mumbi

SERIKALI YA KAUNTI YA TAITA TAVETA KUONGEZA MASHINE ZA KUSAFISHA FIGO

Serikali ya kaunti ya Taita Taveta imesema itaongeza mashine za kusafisha figo katika hospitali ya mpakani ya Taveta. Akizungumzia hilo katika hafla ya kuadhimisha siku ya ugonjwa wa figo ulimwenguni mjini Taveta, waziri wa afya katika kaunti hiyo Daktari Gifton Mkaya amesema ugonjwa wa sukari na shinikizo la damu husababisha figo kuathirika zaidi. Mkaya amesema

SERIKALI YA KAUNTI YA TAITA TAVETA KUONGEZA MASHINE ZA KUSAFISHA FIGO Read More »

AFISI YA MBUNGE WA MALINDI IMEELEZA KUWEPO KWA MIKAKATI YA KUJENGA SHULE ZA UPILI KATIKA KILA SHULE YA MSINGI

Afisi ya mbunge wa Malindi kaunti ya KIlifi, Amina Mnyazi imeeleza kuwepo kwa mikakati ya kujenga shule za upili, katika kila shule ya msingi iliyoko eneo bunge la Malindi. Kulingana na mratibu wa mipango katika afisi hiyo Dickson Chilango, hatua hiyo ni njia mojawapo ya kuboresha masomo ya wanafunzi katika eneo la Malindi, kwani kumekuwa

AFISI YA MBUNGE WA MALINDI IMEELEZA KUWEPO KWA MIKAKATI YA KUJENGA SHULE ZA UPILI KATIKA KILA SHULE YA MSINGI Read More »