YOUNG BULLS ITAPANDA LIGI MSIMU HUU – GAUCHO
Kocha wa timu ya Young Bulls Ali Said almaarufu Gaucho amesema anafurahia matokeo ya jana baadaya ya kuitandika timu ya Equity magoli 2-0 kwenye uga wa shule ya upili ya Malindi katika mashondano ya ligi ya daraja la kwanza humu nchini. Gaucho amesema kwa sasa wako katika nafasi bora zaidi kujiunga na ligi kuu ya […]
YOUNG BULLS ITAPANDA LIGI MSIMU HUU – GAUCHO Read More »



