HIMIZO LATOLEWA KWA WAZAZI ENEO LA KISAUNI KUDUMISHA USHIRIKIANO BAINA YAO
Wazazi katika kaunti ndogo ya Kisauni kaunti ya Mombasa wamehimizwa kudumisha ushirikiano baina yao kama mbinu mojawapo ya kuwalea wanao kwa maadili. Ni wito uliotolewa na wazee wa mitaa wa kike kwenye kikao kilichoandaliwa na shirika la kijamii la kecosce, ambapo wazazi kwa jumla wametakiwa kushirikiana kwani ukosefu wa ushirikiano umetajwa kusababisha baadhi ya watoto […]
HIMIZO LATOLEWA KWA WAZAZI ENEO LA KISAUNI KUDUMISHA USHIRIKIANO BAINA YAO Read More »



