RAILA ODINGA ADAI KULIKUWA NA MITAMBO MINNE YA IEBC KUPEPERUSHA MATOKEO YA UCHAGUZI
Kinara wa Azimio La Umoja One Kenya Raila Odinga anadai kulikuwa na mitambo minne ya tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC kupeperusha matokeo ya kura za uchaguzi mkuu wa Agosti 9 mwaka jana wa 2022 ambazo zilitumika kufanikisha wizi wa Kura za urais katika kipute hicho. Akizungumza katika kaunti ya Mombasa Raila amesema […]
RAILA ODINGA ADAI KULIKUWA NA MITAMBO MINNE YA IEBC KUPEPERUSHA MATOKEO YA UCHAGUZI Read More »



