WEZESHENI KINADADA, JUMBA ASHAURI VIONGOZI
Wito unazidi kutolewa na viongozi wa michezo katika mkoa wa pwani kwa serikali za ugatuzi lakini pia zile za kitaifa kumuangazia mwanadada michezoni ili kuleta usawa katika makuzi ya talanta. Alizungumza na Tama la Spoti Jumba Alex ambaye ni katibu mkuu wa vilabu vya Malindi Progressive Academy anasema kwamba ipo haja ya kuwaunga mkono vijana […]
WEZESHENI KINADADA, JUMBA ASHAURI VIONGOZI Read More »



