Paps Mkare

HAALAND AWEKA HISTORIA MANCITY IKIIADHIBU RB LEIPZIG KLABU BINGWA ULAYA

Baada ya mshambuliaji wa Manchester City, Erling Braut Haaland kufunga mabao 5 hapo jana kwenye ushindi wa mabao 7-0, ushindi walioupata Man City dhidi ya RB Leipzing kwenye mchezo wa klabu bingwa Ulaya, mshambuliaji huyo raia wa Norway amekuwa mchezaji wa tatu kufunga mabao 5, kwenye mchezo mmoja wa ligi ya mabingwa Ulaya na anaungana […]

HAALAND AWEKA HISTORIA MANCITY IKIIADHIBU RB LEIPZIG KLABU BINGWA ULAYA Read More »

WANAWAKE WENYE TABIA YA KUOMBA PESA KWA WANAUME MWISHOWE HUNYANYASWA KINGONO MAKUBALIANO YAKIKIUKWA

Baadhi ya visa vya wanawake kudhulumiwa kingono na wanaume vinadaiwa kuchangiwa na makubaliano baina ya wawili hao kukosa kuafikiwa. Haya ni kulingana na Mwenyekiti wa shirika la kutetea haki za wanawake na watoto la KILIFI MUMS kaunti ya Kilifi Kibibi Ali ambaye amesema baadhi ya wanawake wamekuwa na tabia za kuomba pesa za mahitaji kutoka

WANAWAKE WENYE TABIA YA KUOMBA PESA KWA WANAUME MWISHOWE HUNYANYASWA KINGONO MAKUBALIANO YAKIKIUKWA Read More »