MIZOZO MINGI YA UMILIKI WA ARDHI YA UMMA HUTOKANA NA WALIOKUWA WAMESAJILIWA KUAGA DUNIA AU HATA KUZEEKA
Mwenyekiti wa mashirika ya kijamii kanda ya Pwani Zedekiah Adika amesema mizozo mingi ya umiliki wa ardhi ya umma hutokea kutokana na waliokuwa wamesajiliwa mwanzoni kama wenyeji kufariki au hata kuzeeka. Akizungumza na LULU FM, Adika amesema baadhi ya watu hutaka kumiliki ardhi hizo na hata kuchukua hatua ya kuziuza pasipo kuwahusisha wakazi wengine katika […]



